August 24, 2017 gumzo kwenye mitandao
ya kijamii ni ishu ya Ommy Dimpoz kuamua kuifuta post yake aliyoiweka
kwenye Instagram ikiambatana na picha yake akiwa na mama Diamond jambo
ambalo lilitolewa maoni sana na Watanzania.
Miongoni mwa mastaa ambao hawakuupenda ujumbe huo ni pamoja na meneja wa zamani wa Ommy Dimpoz Mubenga, Aunty Ezekiel na hata Dada wa Diamond ambaye aliweka comment moja kwa moja kwenye post hiyo akimkanya Dimpoz kutomuingiza mama Diamond katika ugomvi wake na Diamondi
0 comments: