SASA PIGENI KAZI TUISAFISHE TEMEKE YETU

                                                  ALLY KAMTANDE
     
  NA
 JOSEPH YONA

ni baada ya uchaguzi kuisha mwenyekiti wa ccm tawi la bokorani JOSEPH YONA amewapongeza viongozi walio chaguliwa juzi katika wilaya ya Temeke na kuwataka waondoe makundi yote yaliyo jitokeza kipindi chote cha mchakato wote wa uchaguzi

        ccm yetu ni moja hivyo nawaomba tufanye kazi ya kujenga chama imara chenye uwezo  wa kuendelea kuisimamia serikali ili iweze kuendelea kuwatumikia wananchi wa TANZANIA

Alisema ALLY  KAMTANDE tumekuamini tumekupa nafasi ya uwenezi tunakuomba pambana katika nafasi yako ili kukiimarisha chama



                                                   ALMISHI HAZALI

Mama wa shoka uwezo wako katika kujenga hoja na kuzisimamia ndio ulio tufanya makada zaidi ya 500 kukuamini na akukupa nafasi ya kutuongoza ngazi  UWENYEKITI  tunaomba usimamie ahadi zako kuhakikisha unarudisha jimbo letu na kata yetu.
Share on Google Plus

0 comments: