Breaking News ; BOTI YA MV JULIUS YAZAMA ZIWA VICTORIA


Watu 17 wameokolewa baada ya boti ya MV Julius kuzama katika ziwa Victoria.Jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia kubaini kama kuna watu waliosahaulika majini.
Taarifa zaidi inakuja hivi punde..
Chanzo-Muungwana blog
Share on Google Plus

0 comments: