Joseph Yona.
akiongea na mtandao huu Bwana Yonah amesema kuwa kwa sasa hana mashaka na uadilifu na mapenzi ya dhati aliyonayo Rais kwa nchi yake.''unajua watanzania walijisahau sana, wakawa wanaishi kwa mazoea, nchi ilikuwa inaliwa balaa, hebu fikiria ilikuwa mpaka vijana wanakataa kuajiriliwa na wanaendendelea kupata pesa mitaani, sasa hivi hakuna. Rais kasema asiyefanya kazi na asile''. amesema Yonah.
''mimi nilishiriki kikamilifu kuhakikisha Rais anashinda, nilijitoa kufanya kampeni jimbo la Moshi Mjini, japo Ubunge tulishindwa lakini tunafurahi Rais ameshinda na sasa watanzania hata wa moshi wanaiona faida ya kumchagua JPM. Hongera sana Rais wangu na Mwenyekiti wa chama changu''.
Joseph Yona.
0 comments: