MKUU WA MKOA MAKALLA KATIKA OPERESHENI WEKA JIJI SAFI NA ONDOA MSONGAMANO MBEYA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akiwa ameongozana na baadhi
ya waendesha Bajaj wa eneo la Kabwe Jijini Mbeya, wakati alipofika
kukutana nao ili kuwasikiliza, ambapo amesitisha kwa muda kuhamishwa kwa
Waendesha Bajaj hao kituoni hapo mpaka hapo kituo kilichopendekezwa wao
kwenda kifanyiwe marekebisho, pia ameagiza kuendelea kwa operesheni kwa
Bajaji kufuata ruti na vituo walivyopangiwa ili kuepusha misongamano
isiyo na lazima na kuhakikisha usafi unaendelea ili jiji la Mbeya liwe
mfano wa kuigwa.Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akizungumza na vijana hao
wanaojishughulisha na Uendeshaji wa Bajaj za abiria, eneo la Kabwe,
Jijini Mbeya.Baadhi
ya madereva wa bajaji watumiao eneo la kabwe kuegesha bajaji zao
wakizungumza na mkuu wa mkoa wa mbeya Amos Makalla (hayupo pichani). Na Mr.Pengo MMG-Mbeya.
About author: PAVEA BLOG
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: