JINSI WAZIRI MAKAMBA ALIPOKUTANA WAHARIRI KUZUNGUMZIA ZIARA YA MAZINGIRA KATIKA MIKOA KUMI NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba akiongea na Wahahariri wa Jukwaa la Wahariri (hawapo pichani) kuhusu ziara ya mazingira aliyoifanya katika mikoa mikumi Nchini Tanzania manamo mwezi wa Novemba. Aliyeko katikati ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mbarak Abdulwakil na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Richard Muyungi.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba akionyesha kwa Wahariri wa vyombo vya habari, picha tofauti za maeneo mbalimbali aliyotembelea wakati wa ziara yake ya kutembelea Mikoa 10 Nchini kuangalia athari za mazingira.Sehemu ya Wahariri na Waaandishi wa Habari mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba alipoongea nao Ofisini kwakae kuongelea ziara yake aliyoifanya kwa mikoa 10 Nchini.
Share on Google Plus

0 comments: