Taarifa ikufikie kuwa tatizo hilo limetokea na kwa mujibu wa msemaji wa mtandao huyo” baadhi ya watu wamepata tatizo la kushindwa kupata huduma ya whatsapp kwa leo, tunaomba radhi kwa usumbufu na tunashughulikia kuhakikisha huduma hiyo inarejea mapema”
SOURCE: express.co.uk
BREAKING: Mtandao wa Whatsapp hauko hewani dunia
nzima sababu za kutokuwa hewani bado hazijawekwa wazi kama tatizo nini
0 comments: