KAMPUNI MPYA YA USAMBAZAJI WA FILAMU ZA KIBONGO KUZINDULIWA LEO

jengo la kampuni mpya ya usambazaji wa filamu za kibongo lililoko kinondoni hananasifu jijini Dar es salaam uongozi wa kampuni hiyo umefanya uzinduzi wake rasmi jioni ya leo

Huu ni muonekano wa jengo kwa mbele

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya treeo tabasamu single mtambalike akizungumza katika uzinduzi rasmi wa kampuni ya barazani

mkuu wa kitengo cha masoko ya kampuni ya treeo tabasamu jacob steven akizungumza katika uzinduzi huo
0 comments: