Jeshi la polisi limeriport kuwa limepambana na majambazi ili kurudisha hali ya usalama katika eneo la kibiti lililopo wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani
Kutokana na kuwa na mashambulio ya kutumia siraha kali kwa kuua polisi na wananchi
Jeshi la polisi limetangaza na kuthibitisha kumuua jambazi nguli ambae amekuwa akitekeleza mauaji mengi katika wilaya ya mkurunga na mkoa wa pwani ikiwemo mauwaji ya askali 8 jambazi huyo alifahamika kwa jina la Rashid kapela nguli wa uvamizi wa mabenk
Kwa mujibu wa kamanda wa polisi Mambossa amesema jambazi huyo ametaja wenzake alikokuwa akifanya nao kazi hivyo jeshi la polisi lipo njiani kwenda kuwanasa pia kamanda aliomba raia wema wazidi kuwa na ushirikiano ili kuhakikisha jeshi la polisi linazibiti vitendo vyote vya uharifu TANZANIA
0 comments: