Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai akemea kitendo cha Mbunge wa kigoma na kiongozi wa chama cha ACT ZITTO KABWE kwa kitendo chake cha kutka kushindana na spika
Alisema huna uwezo wa kushindana na spika nina uwezo wa kukufanya usiongee ndani ya hili bunge mpka pale utakapo maliza kipndi chako ndani ya bunge hili na usiende popote na hata ukienda usifanye lolote
Toa maoni yako
0 comments: