WANAFUNZI MIRAMBO CHUPUCHUPU

BODI YA RUFAA MKOA WA TABORA WAZITAMA NDOTO ZA WANAFUNZI
Dodi hiyo imetoa msamaha kwa wanafunzi 37 walio kuwa wanakabiliwa na makosa ya utovu wa nidhamu na uharibifu wa mali za umma na wananchi 

Hata hivyo bodi hiyo imewataka wanafunzi hao watafute shule nyingine waame katika hiyo shule 
Share on Google Plus

0 comments: