SHAMBA LAKE LARUDISHWA SERIKALINI
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuri amefuta umilikiwa wa mashamba makubwa yaliko kigamboni na kurudishwa serikalini moja ya mashamba hayo ni ya Amadol lenye hekta 5400 na la mfanya biashara na diwani wa mbagara kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi. Yusuph manji lenye ketka 715
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: