Mfanya biashara maalufu na mmliki kwa quality group diwani wa mbagara kupitia tiketi ya ccm na aliyekuwa mwenyekiti wa club ya yanga sasa aachiwa hulu kutoka katika kesi iliyo kuwa ikimkabili ya kuhujumu uchumi wa Tanzania
Mfanya biashara huyo aliye kuwa akishikiliwa na jeshi la polisi sasa aachwa huru baada ya muendeshe mashtka ya serikali kumuhitaji kwa hati ya dharula na kuimbia mahakama haioni sababu ya kuendelea kumshikilia yusuph manji
Maswali yaliyo tanda katika vichwa vya wanasoka wengi hususa wapenzi wa club ya yanga ni je mfanya biashara huyo atarudi tena kuifadhiri yanga
Kutana na pavea pavea blog tutakuhabarisha
0 comments: