Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi tawi la bokorani mh joseph yona kupitia gazete la uhuru leo 15 katika hoja ya haja uk wa 6 amechambua umuhimu wa JPM ktk maendeleo ya Tanzania
Joseph yona amesema maendeleo ya nchi huletwa na kikundi cha watu wa chache au mtu mmja kwaniamba ya watu wengine mtu huyo au kikundi hicho huwa mstari wa mbele kuleta maendeleo
Kuna nadharia za maendeleo ambazo zinaeleza namna ya kupata maendeleo na wasomi wengi wameweza kuzieleza kwenye mktadha tofauti tofauti lengo ni kuamsha hisia za uwajibikaji uhamasishaji na utayari miongoni mwa jamii katika kuleta maendeleo ili kila mwananchi aweze kupata huduma muhimu
Ukweli usio pingika Tanzania imeanza kuwa namuelekeo tulionkuwa tunauhitaji si kama awali lilikuwa ni taifa la kuwanufaisha wachche wenye mali na hawapaswi kufanywa lolote
Tunapita katika wakati mgumu lakini haimanishi ni sehemu mbaya tunako elekea razma tukili kuwa nchi inaelekea kuwa na maendeleo sabbu tuna watu wachache wakiongozwa na JPM katika kuleta maendeleo ya taifa
Maendeleo yaliyopo USA yaliletwa na watu wa enzi hizo za miaka1834 hadi 1837 hiki ni kipindi ambacho kulikuwa na jitihada kubwa ya kupambana na kubadili mfumo wa maisha yao ilipo fika 1867 marekani ikaanza kupata maendeleo kutoka katika kikundi cha watu akiwemo Morgan Vanderbilt, ambao walitengeneza mazingira mazuri yaliyo kuja kuleta maisha mazuri sasa
Maendeleo hayawezi kuja kwa kuendekeza porojo za kisiasa razma kila mtu aumie ili nchi ipate maendeleo
Kwa maendeleo yaliyopo korea kusini yaliletwa kwa mkono wa chuma Rais wa awamu ya pili nchini korea kusini Park Chung-hee alisimama kidete katika kuhakikisha analeta maendeleo kuwa mkali na hata kusimamia sheria mbali mbali zilizo kuja kuleta mfumo mathubuti katika 1963 hadi 1978
Ikumbukwe hata singapore yenyewe ilipita kwenye mfumo mgumu katika kipindi cha waziri Lee kuan yew ambae aliamini kila mwananchi anapaswa kuwa sehemu ya mabadiliko ya nchi
Kila mwananchi anapwa ajue nchi inayojegwa ni nchi ya wote si ya JPM watanzania tumempa dhamana ya kututoa tulipo mpka sehemu nyingine mbali katika uchumi imara
Uchumi wa malasyia uliletwa na aliyekuwa waziri mkuu Tun Abdul Razak haukuja lelemama hadi kuwepo na wanasiasa Tanzania bali ulitokana na kila mwnanchi kuwa mstari wa mbele kwenye mabadiliko hayo
Tanzania imepitia vipindi tofauti kila kipindi kilikuwa na dira na malengo yake ambayo yalijegwa kwenye misingi ya kuhakikisha tunafika sehemu ambayo nasi tunaweza kujiendeshe na si kuendeshwa nakuwa ombaomba baada ya miaka 50 ya uhuru
Rais JPM amkuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha nchi inatumia rasilimali zake katika kujinufaisha na kufika mbali ili kila mmja awe na manufaa makubwa ndani ya nchi
Kila kitu kinawezekana ikiwa kila mwananchi atatimiza wajibu wake ambao kwa namna moja au nyingine ndio shabaha kubwa ya nchi kupata maendeleo ya kujitosheleza
Naamini tunnapaswa kuona jambo moja kuuu kuwa uchumi wa Tanzania utaletwa na watu wachache waliojitolea kwaajiri ya watanzania wote wakiongozwa na Rais JPM ambae kwa namna moja au nyingine amekuwa msaada tosha kwa wananchi hususa wa hali ya chini
Kwa mantiki hiyo wananchi waendelee kumuunga mkono Rais ili azidi kutuleta maendeleo ya Taifa kwa ujumla ambalo kwa namna moja au nyingne nchi inakuwa kwenye wakati mgumu hasa kutokana na kuwepo kwa mafisadi ubadhirifu na uvivu kwa watumishi wa umma
By
Joseph yona
Mwenyekiti wa ccm tawi la bokorani
0 comments: