DEREVA WA MBUNGE WA CHADEMA JOHN HECHE CHUPU CHUPU

                      Matukio toka huko tarime
Dereva huyo alivamiwa jana usiku saa mbili na watu wasio jurikana na kumjerui kwa mapanga hata hivyo hali yake inaendelea vizuri akipata matibabu katika hospitali ya BomaniTarime

Share on Google Plus

0 comments: