Mwanasiasa na mbunge wa iringa kupitia chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA ameandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa instagram juu ya IGP SIRRO kufwatia report ya sirro aiyo itoa tarehe 8 mwezi huu na kusema kuwa jeshi la polisi halina taarifa kuw mbunge wa singida na mwanasheria wa chadema TUNDU LISSU alikuwa akifwatiliwa na watu wasio julikana
Kutokana na taratibu za kipolisi mh Lissu alitakiwa kuliport polisi na si kwenye vyombo vya habari kitu ambacho mchungaji msingwa amekipinga na kusema kuwa IGP sis ni wanasiasa vita yetu ni ya hoja siraha yetu ni microphone uwanja wa vita ni jukwani hivyo haon sababu ya jeshi la polisi kutumia mabomu katika kupambna na vyama vya upinzani
Mbunge huyo ambae mpka sasa yuko kenya akimuuguza Tundu lissu amesema tukio la lissu limenipa ujasiri mkubwa na kunikomaza kisiasa kiasi kwamba kunifnya nisonge mbele zaidi na kuimarika kisiasa alisema mbunge huyo
Alimaliza kwa kusema kuwa sitanyamaza nitaendelea kupaza sauti nakupnda lissu hakika wewe ndie shujaa wetu
0 comments: