RAIS JPM AMUAPISHA JAJI MKUU IBRAHIM JUMA

Prof IBRAHIMUJUMA ndie atakae kuwa jaji mkuu wa Tanzania hata hivyo rais JPM ameonyesha imani yake kubwa juu ya jaji huyo na kusema ndie jaji ambae nilikuwa nikimtafuta naimani ataenda kufanya kazi kwa uweredi mkubwa

Aidha rais amesema hata mimi sipnd kuchagua jaji mara kwa mara nilipenda niteue jaji akae hata miaka kumi lakn ndo hivyo

Hata hivyo jaji huyo alikuwa na mengi ya kusema lkn kubwa alisema ataanza na Dar es salaam kwa kuhakikisha zinajengwa mahakama nyingi za mwanzo ili kuhakikisha haki haicheleweshwi
Share on Google Plus

0 comments: