Alikiba msanii wa kizazi kipya amefanya makubwa ndani ya jiji la Arusha ameweza kusimamisha Arusha kwa masaa kadhaa baada ya kudondoka ndani ya jiji hilo chini ya TIGO FIESTA
Alikiba ambeae amekuwa gumzo ndani na nje nchi kwa nyimbo yake ya SEDUCE ME iliyo fanya vizuri zaidi ya vile ilivyo tarajiwa na wengi msanii huyo alipata wasaa wa kuzungumzia kashifa iliyo sambaa mitandao kuwa ameiba wimbo
Alikiba alisema seduce ni wimbo mzuri hata mimi nikiwa stage naenjoy kuimba hivyo razma ufanyiwe cover na watu wengi na hiyo inanipa faraja kubwa sana kama msanii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: