Bado Ligi Kuu England msimu wa 2017/2018 mbichi na kwa namna ilivyo huwezi kutabiri ni timu ipi inaweza kuwa bingwa wa Ligi Kuu lakini cha kushangaza leo September 11 club ya Crystal Palace imetangaza kuachana na kocha wake mkuu Frank de Boer.
Roy Hogson
Frank de Boer anakuwa kocha wa kwanza msimu wa 2017/18 England kupoteza ajira yake akiwa kaiongoza Crystal Palace
katika michezo minne na kupoteza yote akiwa kapewa mkataba wa miaka
mitatu wenye thamani ya pound milioni 2 kwa mwaka lakini anakuwa kocha
aliyedumu na club kwa muda mfupi.
0 comments: