
Polisi mjini Kabul wamesema walitumia nguvu kubwa kumsimamisha kwa kulishambulia gari lake kwa risasi.
Wanajeshi
wa UN nchini humo wamesema kuwa mabomu hayo yalichanganywa na mbolea na
kuwekwa kwenye madumu huku mengine yakiwa kwenye maboksi ya nyanya hii
ni baada ya kufanyiwa ukaguzi.
Hata hivyo, mpaka sasa hakuna kundi lolote la kigaidi lilitoa tamko juu ya tukio hilo.
Kwa
mujibu wa UN nchini Afghanistan mamia ya raia wanauawa kila mwezi na
makundi ya kigaidi ambapo kuanzia mwezi Januari hadi Septemba watu 1,584
wameshauawa kwenye matukio mbalimbali ya mashambulizi ya kigaidi.
0 comments: