Kampuni ya uuzaji na usambazaji wa UBUYU MTAMU WA MATOWO MATOWO GROUP
linapenda kuitangaza rasmi bidhaa yao mpya ya ubuyu mtamu wa matowo
Huu ni ubuyu ambao umetengenezwa katika mazingira salama ya kumlinda mlaji kwa kufwata kanuni zote za mamlaka ya chakula na dawa TFDA
UBUYU MATAMU WA MATOWO upo katika ujazo tofauti tofauti ambao utaenda kumfanya kila mtanzania kuweza kumudu gharama za ununuzi na kuweza kufaidi radha tamu ya ubuyu huu wa matowo kuna ujazo mdogo shillingi mia Tano na ujazo mkubwa ambao ni shillingi elfu mbili
bidhaa hii inapatikana TANZANIA nzima unaweza kupata mzigo huu sehemu yoyote ile ulipo kwa rejareja na jumla kwa mawasilinom zaidi
piga namba 0653630011
UBUYU MTAMU WA MATOWO kwa radha nzuri na ya kuburudisha vijana changamkieni fulsa kwa bidhaa hii maana haita kukalia mkononi tutafute MATOWO GROUP utengeneze pesa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: