Alisema Mwenyekiti huyo kuwa Uongozi ni akili,ubunifu na kujituma,leo Mkuu wa mkoa wa Dar és salaam Mh sanaaaa Paul Makonda amepokea magari 14 kwa ajili ya Jeshi la Polisi Dar es Salaam yaliyokuwa yakikarabatiwa Moshi.
Yaani Makonda Kakuta magari yamesahaulika,sasa Kwa karama na vipaji alivyojaliwa na Mungu kayakarabati Kwa Gharama nafuu sanaaaa.
Hongera Paul Makonda Kwa kazi nzuri na tambua wewe una matunda yaliyo iva hivyo ni lazima upigwe mawe na wapiga dili.
Niwakati sasa wa viongozi wengine kuiga mfano kwa Mh Paul Makonda kwani ili kulijenga taifa lenye kujitegemea kiuchumi razima Taifa liweze kupunguza manunuzi toka nje yaani IMPORTATION na kuimalisha uzalishaji wa ndani
Walisema hufai sababu wewe ni mpinga rushwa sababu wewe ni mpinga dili sababu wewe ulijitoa kimasomaso kupambana na biashara ya madawa ya kulevya
pia mwenyekiti huyo alisema nilipata wasaa wa kwenda kutembelea iliko asili yangu SERENGETI nilifarijika sana nilipo ona ndugu zangu na watu wangu wanaungana na serikali ya Awamu ya tano ya JPM kwani niimani yao kuwa maendeleo hayawezi patikana nje ya ccm
pia walinitaka nifikishe salamu zao kwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam kwamba mbali ya kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ila Watanznia wengi wanamuunga mkono kwani ameonyesha ujasili wa hali ya juu na anastahili kupokea Tuzo ya heshima
Aliya zungumza hayo Mh Joseph Yona leo alipo kuwa akizungumza na wajumbe wa kamati kuu ya siasa ya tawi mbayo ilikutana ilikujadili maendeleo ya upanuzi wa tawi na mikakati ya kuongeza wanachama katika tawi lake la bokorani
Imeandaliwa na
Chairmans personal assistance
Albert Dimela
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: