Kutoka : Jerry C. Muro
Kwenda : watanzania wote
Yah : Salamu za Kheri
Habarini za asubuhi ndugu zanguni wapendwa, kwa wale tuliojaaliwa kuiona siku ya leo tuna kila sababu ya kumshukuru sana Mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwingi wa ukarimu !
Vilevile tuna wajibu mkubwa wa kumuombea kwa Mwenyezi Mungu Rais wetu Mpendwa Daktari John Pombe Joseph Magufuli na Serikali yake bora kabisa anayoiongoza.
Msisahau pia kukiombea Chama kinachopendwa na Raia wote wema wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, CHAMA CHA MAPINDUZI.
CCM ni Chama pekee cha siasa duniani ambacho kina wanachama wengi mno ndani na nje ya nchi . CCM ina matawi mengi mno ndani na nje ya nchi !
Eee Mola wetu Mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali anayoiongoza.
Eee Mola wetu mbariki Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Eee Mola wetu mbariki Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali anayoingoza.
Eee Mola wetu mbariki Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
KIDUMU CHAMA TAWALA.
HAPA KAZI TU !
Asubuhi Njema kwenu
Jerry C. Muro
Dar es Salaam, Tanzania
26/10/2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: