Na mwandishi wetu SOJEY ALLY
Gazeti la Jamvi la habari limetoa makala ambayo imeonyesha mafanikio iliyo pata Tanzania kupitia serikali ya awamu ya tano chini ya Mtukufu Rais wetu Dr John Joseph Pombe Magufuli
kwa miaka miwili Rais amefanikiwa kutufika shapa ameweza kutatua kero ambazo baadhi ya Watanzania walisema kwa nchi Maskini kama sisi hatuwezi
1. Rais JPM amfanikiwa kutupatia watanzania wote elimu bure mpaka sekondari
2. Rais JPM amefanikiwa kufufua shirika letu la ndege na kununua ndege sita mpya za umma
3. Rais JPM amefanikiwa kuongeza barabara ikiwemo barabara za juu za Ubungo na Tazara
4. Rais JPM amefanikiwa kuleta mabadiliko makubwa kwenye secta ya nishati na madini
5 . Rais JPM amefanikiwa kuongeza makusanya ya mapato ya ndani mara dufu
7 . Rais JPM amefanikiwa kutuleta ujenzi wa bomba la mafuta toka tanga mpaka uganda
8. Rais JPM amefanikiwa udhibiti mkubwa wa fedha za umma
9. Rais JPM amefanikiwa kutekeleza miladi mikubwa ya maji nchi nzima
10. Rais JPM amefanikiwa kuboresha huduma za afya kufikia hatua kupunguza safari za nje
11.Rais JPM amefanikiwa kudhibiti wa upotevu wa mapato bandari
12. Rais JPM amefanikiwa kuimarisha miundombinu Tanzania nzima
Watanzania bila kujali ukabila udini na itikadi za kisiasa tuungane na Rais wetu Pendwa katika kuleta mafanikio ndani ya Taifa letu nchi yetu ni moja na ni jukumu letu kuilinda kwa nguvu zote
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments: