News Alert : HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MIKOPO YA ELIMU YA JUU AWAMU YA PILI MWAKA WA MASOMO 2017/2018



Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetoa orodha ya awamu ya pili ya wanafunzi 11,481 wa mwaka wa kwanza waliofanikiwa kupata mikopo. 

Orodha hiyo ya wanafunzi ya awamu ya pili inapatikana hapa kwenye tovuti hii (www.heslb.go.tz) na itatumwa kwa vyuo husika. Vilevile,HESLB inawafahamisha wanafunzi wanaoendelea na masomo na umma kwa ujumla kuwa inaendelea kutuma vyuoni majina na fedha za mikopo ya wanafunzi wanaoendelea na masomo ambao wamefaulu mitihani yao.


Share on Google Plus

0 comments: