KITILA MKUMBO AITOSA ACT WAZALENDO




Mh Kitila Mkumbo lea amaachana rasmi na chama cha ACT WAZALENDO baada ya kuadika barua ya kujivua uwanachama 

Mh Kitila mkumbo ambae sasa ni katibu mkuu wa wizara ya maji na uwagiliaji ameamua kuachana na chama chake alichokuwa akikitumikia
alisema nivigumu kuendelea kukitumikia chama changu cha ACT wakati huo natakiwa kutimiza majukimu yangu ya kiserikali kwa kuondoa mgongano wa kimaslai nimeamua kujitoa 

lakini pia Mh Ameomba akumbukwe kama kiunganishi kikubwa katika ujenzi wa chama hicho itakubukwa kwamba miezi sita iliyo pita Mh Kitila Mkumbo aliachia nafsi yake ya ushauri wa chama mara tu baada ya kuteuliwa na Mh Rais JPM

Maswali yaliyopo katika vichwa vya watu je Mheshimiwa atachukua kadi ya ccm ili aweze tumikia vizuri ilani ya chama cha mapinduzi




pavea blog tutakuletea kinachojili

habari na
Albert dimela
Share on Google Plus

0 comments: