ALIYEKUWA
mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Lawrence
Masha, leo amejiondoa katika chama hicho na amesema atatafakari
mustakabali wa kujiunga na chama cha siasa kingine. Pia amempongeza Rais
John Magufuli kwa kutekeleza mambo ambayo waliyokuwa wanayapigia kelele
wapinzani ambayo viongozi waliopita hawakuyatekeleza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: