JOSEPH YONA ATOA FULSA KWA VIJANA WA BONGO MOVIES
Mwenyekiti wa ccm tawi la bokorani joseph yona awanyanyua UVCCM tawi lake kutimiza ndoto zao za kuwa wasanii wa filamu nchini
ILI KUWEZA KUONA PROMO YA SHORT FILAMU HIYO GUSA
LINK HIYO CHINI
https://youtu.be/4uE_iSPSqL8
hata hivyo mwenyekiti huyo amesema nilianza na mpira sasa filamu nitazidi kugusa nyanja zote na haitakuwa ndani ya tawi tu bali nitatoka na kwenda mpaka katika jamii yote
hata hivyo vijana hao wamemshukuru mwenyekiti huyo kwani amekuwa mfano wa kuigwa kwaviongozi wengine kuweza kutumia rasmali zao katika kutatua changamoto zinazo wakalibia
short filamu hiyo ambayo itauwa you tube na kusambaza na mtandao wa PAVEA
About author: PAVEA BLOG
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: