MD WA PAVEA JOSEPH YONA AFANYA ZIARA KATIKA MRADI WA HAMIDU CITY

Hamidu City ni mladi mkubwa ambao upo maeneo ya mkwambe  Toangoma katika jimbo la mbagara
Managing Director wa pavea enteprises amesema mladi huu ni mladi rafiki kwa watanzania wenye vipato tofauti kwani nimepata kuongea ma mkurugenzi mtendaji wa mladi na kuwataka Watanzania kuchangamkia fulsa hiii


Hii ndo ramani ya kamili ya mji afisa masoko wa mladi huu amesema nyumba zote zipo katika mpangilio mzuri kwaajiri ya makazi kuna parking kubwa kwaajiri ya magari lakini pia kuna viwanja vya michezo kwaajiri ya vijana
Nimejifunza mengi na nimeziona jitihada za makusudi zinazo fanywa na managment ya mladi huu katika kuhakikisha mazingira ya hamidu city yana kuwa rafiki kwa kila mkazi na nii kutokana na kuwepo kwa miundo mbinu mizuri na ya uhakika kama barabara maji nk alisema Md huyo ambae pia ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi tawi la bokorani
Uongozi wa mladi unawa karibisha wananchi wote kwa ujumla kwa mahitaji ya nyumba zakisasa na zenye utulivu mzuri bei zao ni nafuu ya kumfanya mtanzania kuweza kuzimudu

Share on Google Plus

0 comments: