Jamvi la habari leo laandika kuhusu Nyalandu kunangwa
Nyalandu ambae amefanya maamuzi ya kuhama chama cha mapinduzi na kujiondoa katika nafasi yake ya ubunge kupitia tiketi ya chama hicho na kutangaza kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo chadema
.
Kume kuwa na maneno mengi ambayo viongozi wa kisiasa na wananchi wanasema kitendo alichokifanya ni kufirisika kisiasa na maono
Lakini pia tukio la kuhama chama limehesabiwa kama ni kitendo kilichotokana na yeye kuona anakosa nafasi katika ccm mpya chini ya mwenyekiti wake JPM
Na hii nikutokana na kashifa kubwa matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali ya taifa kipindi akiwa waziri wa maliasili na utalii
Nyalandu alisema nimeamua kuhama chama kutoka na kutoelewa mienendo ya kisiasa chini kitu ambacho kimekanushwa na wanaccm wengi kuwa kilichomuondoa Nyalandu ni mazingira magumu ya upatikanaji wa rushwa matumizi mabaya ya mali za serikali na chama aliyo yaweka Mwenyekiti na Rais wa Tanzania
Lakini pia JAMVI LA HABARI limezungumza juu ya chama cha CHADEMA kupokea watu ambao wao walikuwa wanawaandama kuwa ni mafisadi na wala rushwa
Ikumbuke kuwa Mch Msigwa alielez juu ya ufisadi alio ufanya Nyalandu katika mbuga ya seroul mipango ya kumpa mke wake nafsi ya kuuza vitalu mbugani Msigwa alisema maouvu mengi ya Nyalandu leo anageuka kuwa shujaa baada ya Rais JPM kujilidhisha na alichosema msingwa na wanachadema wengi na kuchukua maamuzi ya kumuweka nje ya wizara
Hata hivyo kumekuwa na maneno ya chini chini toka kwa wananchi kuto ridhishwa na mienendo cha chadema kupokea mafisadi walio shindwa mifumo migumu ya ccm
Wananchi wanatikata chama cha chadema kusimamia misingi yao na kauli zao wasiwe chujio la uchafu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: