HABARIKA NA GAZETI LA JAMVI LA HABARI KILA SIKU


Sasa Gazeti la Jamvi la Habari lipo mtaani kwako kila siku  kwa gharama ya sh 1000 ikumbukwe kwamba Tasnia ya Habari inahitaji watu makini wenye taaluma na uweridi katika kuhabarisha
hii nikatika kuhakikisha jamii  inashibishwa kilichostahiki ndani ya ulimwengu wa habari
ungana nasi JAMVI  LA HABARI kwa ukina wa habari za kitafa kimataifa biashara michezo na burudani na zenye tija na maanufaa kwa Taifa zilizo haririwa na wahariri makini na wenye kuzikatia maadili ya taaluma yao

ni kila siku za juma kwa gharama ya sh 1000 tu

Pia jamvi la habari linakupa punguzo la matangazo ndani ya gazeti la jamvi la habari katika msimu huu wa sikukuu wahi nahasi hii adimu ya kuifikisha biashara yako, kazi yako kwa zaidi ya mamilioni ndani ya nchi

kwa mawassiliano piga       0676807684

                                            0719119978
Share on Google Plus

0 comments: