Habari za kusikitisha Mbunge wa kigoma kaskazini kupitia chama cha ACT wazarendo Zitto kabwe amapatwa na mkasa wa kuwa moto kwa nyumba yake iliyoko huko kigoma
Kutokana na chanzo chetu cha habari bado haijafahamika chanzo cha moto huo jeshi la ulinzi na usalama lipo eneo la tukio
Habari kamili utazipata kupitia hapa hapa hapa PAVEA PAVEA BLOG
0 comments: