Kamishina wa jeshi la polisi amesema kuwa amewakama vijana 20 ambao walikuwa wanajifunza mapenzi ya jinsia moja aidha alisema Zanzibar ni Mji wa kidini hatuwezi ruhusu mambo kama haya tutasimamia maadili na katiba ya nchi
WALIO KUWA WANAJIFUNZA MAPENZI JINSIA MOJA WANASWA ZANZIBAR
JESHI LA POLISI MKOA WA MJINI MAGHARIBI ZANZIBAR
About author: PAVEA BLOG
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: