GWAJIMA NAWENZAKE SASA HURU


Hakimu wa mahakama ya kisutu leo hii imemuacha huru Askofu wa kanisa la ufufuo na Uzima na wenzake kwa kosa la kushindwa kuhifadhi siraha

Gwajima na wenzake walikuwa na kesi hiyo kwa takribani miaka miwili Aidha mahakama imeagiza Gwajima arudishiwe begi la lisasi bunduki na baadhi ya mali zake zingine kwani hakuna ushahidi kuwa alihifadhi kizembe

Alisema hakimu mafawidhi kuwa nimeona niwaache huru maana kesi haina viwango
Share on Google Plus

0 comments: