Wasanii walio katika list ya watumbuizaji wa Fiesta jijini Mwanza
wakishuka kwenye gari kuingia katika duka la Tigo Jijini Mwanza leo
mchana.
Mteja wa mtandao wa Tigo Edith Shekifu, akipokea zawadi kutoka kwa
msanii wa hip hop Fareed Kubanda(Fid Q) ndani ya duka la Tigo eneo la
Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza.
Mteja wa mtandao wa Tigo Kilinga James, akipokea zawadi kutoka kwa
msanii wa hip hop Fareed Kubanda(Fid Q) ndani ya duka la Tigo eneo la
Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza.
Wasanii wa bongo fleva Fareed Kubanda(Fid Q) na Rayvanny wakimpa zawadi
mteja Lidya Mtamizi, kwenye duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya
Stesheni jijini Mwanza.
Msanii bongofleva Rayvanny akipiga selfie na mteja wa Tigo, kwenye duka
la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza.
0 comments: