huyu hapa mwanamke aliye geuka kivutio kikubwa ndani ya ukumbi wa uchaguzi mwanamke aliye weza kuamsha hisia za makada wa chama cha mapinduzi ni MAMA ALMISHI HAZARI aliye shinda kwenye ngazi ya UWENYEKITI ujasili wake katika kujenga hoja maamuzi na uweredi wake mkubwa katika utendaji wake wa kazi uliwafanya wajumbe wengi wa uchaguzi huo kumshangilia na kumpigia kula nyingi zilizo weza kuwaacha wapinzani wakekwa kura nyingi
MAMA ALIMISHI HAZARI ambaye aliinuka na hoja za kuhakikisha jimbo la temeke kurudi mikononi mwa chama cha mapinduzi pamoja na kata zote zilizo chukuliwa na upinzani alisema ni Aibu kukaa katika wilaya inayoshikiliwa na upinzani kwa nguvu yangu kama mwanamke nitaenda kuhakikisha jimbo letu linarudi mikononi mwetu
MAMA ALMISHI HAZALI alipokea pongezi kubwa kutoka kwa wajumbe wengi na kuahidi kutoa ushirikiano mkubwa kwake na uongozi wote kwa ujumla
Uchaguzi huo ulifanyka juzi tarehe 06 october 207 katika chuo kikuu cha Dar es salaam taawi la Duce wajumbe 893 kati ya wajumbe 1011 halali wa mkutano mkuu wa wa wilaya walitumia masaa 24 kwenda kufanya maamuzi ya msingi kwa niaba aya wanachama zaidi ya maelfu waliopo ndani ya wilaya ya temeke
Aliye ibuka kuwa kinara ngazi ya uwenyekiti ni Mh Almishi Hazali aliye pata kura 555 huku akimuacha mpinzani wake Mh Lukas Mashauri aliye pata kura 271 na kufwatiwa na Mh Mohamed Mbonde kwa kura 18 na mwisho ni Mh Tito Oloso kwa kura 17 na kura zilizo kuwa zimeharibika ni kura 5 tu
katika nafasi nyingine ya uwenezi wa wilaya ALLY KAMTANDE aliinuka kidedea kwa kumuangusha mpinzani wake MASUNU
SASA CCM WILAYA YA TEMEKE INAENDA NA VIONGOZI WAKE WAKUBWA MH MAMA ALMISHI HAZALI na Mh ALLY KAMTANDE NGAZI YA UWENEZI
0 comments: