MABADILIKO YA BARAZA LA MAWAZIRI


Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuri leo amefanya mabadiliko ya baraza la mawaziri, Mawaziri jumla watakuwa 21 zimeongezeka nafasi 2, Manaibu jumla watakiwa 21 zimeongezeka nafasi 5

 MAJINA YA MAWAZIRI NI KAMA IFWATAVYO

 Utumishi - mkuchika

 Nishati - kalemani ; naibu - mgalo

 Madini - kairuki ; naibu - nyongo

 Ujenzi - mbarawa ; naibu - nditie (ujenzi) na kwandikwa (mawasiliano)

 Fedha - mpango ; naibu - kijaji

 Katiba - kabudi

 Habari - mwakyembe ; naibu - shonza

 Ndani - nchemba ; naibu -masauni

 Maliasili - kigwangala ; naibu -kasunda

 Ardhi - lukuvi ; naibu - mabula

 Kilimo - tizeba ; naibu - mwanjelwa

 Mifugo/uvuvi - mpina ; naibu - urega

 Nje - mahiga : naibu - kolimba

 Ulinzi - mwinyi

 Maji - kamwele ; naibu - awoshio

 Viwanda/biashara - mwijage ; naibu - manyanya

 Elimu - ndalichako ; naibu - olenasha

 Afya - mwalimu ; naibu - faustine

 Tamisemi - jafo ; manaibu - sekamba na kakunda

 MaZingira - makamba ; naibu - lugola

 Vijana - mwamgama ; manaibu - mavunde na kipupa

 MWISHO RAIS JPM AMEFANYA MABADILIKO KATIKA BUNGE

 Katibu bunge - kagaigai
Share on Google Plus

1 comment: