Utafiti huu unatumiwa technologia ya GPS kutambua mashamba wakilishi. Hivyo serikali ya jamuhuri inaomba wakulima na wafugaji watakao chuguliwa kama sampuli wakilishi kushiliki kikamilifu ili kuwezesha serikali kupata takwimu zenye ubora kwa ajiri ya maendeleo.
0 comments: