TAARIFA TOKA IKULU

Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Joseph Maguli amesema kuwa leo tarehe 23 october atawatunuku vyeti wajumbe wote walio shiriki katika tathimini ya viwango mpaka mazungumzo na kampuni ya Barrick

Tanzania na Barrick wameingia makubaliano mapya tarehe 19 mwezi huu ya kukubaliana  na kutekeleza namna kampuni hiyo itakavyo jiendesha katika shughuri zake za madini

tukio hilo litafanyika ikulu leo saa tano na kuonyeshwa moja kwa moja na vyombo vya habari
Share on Google Plus

0 comments: