Kwamba juzi, Oktoba 29, 2017 alipokuwa kwenye mkutano wa kuzindua
kampeni za udiwani katika Kata ya Kijichi, Wilayani Temeke alitoa maneno
yanayoweza kupelekea uvunjifu wa amani. Maneno hayo ni yafuatayo:
1. Kwamba wananchi wasiichague CCM kwa sababu Serikali yake imeshindwa
kufanya uchunguzi na kuwakamata watu waliompiga risasi Mbunge Tundu
Lissu mpaka siku hiyo.
2. Kwamba wananchi wasiichague CCM kwa sababu Serikali yake imeshindwa kueleza chanzo cha miili ya watu wanaookotwa kwenye fukwe za bahari kama Coco Beach. Hivyo kuichagua CCM ni sawa na kuwaunga mkono waliofanya vitendo vya kumshambulia Tundu Lissu na wanaoua watu wanaookotwa kwenye fukwe.
Timu ya mawakili wa chama iko na ndugu Zitto katika mahojiano haya.
Ado Shaibu - Katibu wa Itikadi, Mwasiliano ya Umma na Uenezi
ACT Wazalendo
Oktoba 31, 2017
Dar es salaam

0 comments: