YALIYOSEMWA NA RAIS MAGUFULI LEO IKULU WAKATI AKITUNUKU VYETI


Rais Magufuli: Kwenye Serikali ambayo mapato yameshuka, unawezaje kununua ndege 6 kwa mpigo, tena mpya?
- Utabadilishana na dagaa?
#JFLeo

Rais Magufuli: Mtu anasema mapato yameshuka huku akijua si kweli kuwa yameshuka
- Inatakiwa wawe wanafikishwa Mahakamani kuthibitisha
#JFLeo

Rais Magufuli: Sina cha kuwapa kwa kwa sababu tumeibiwa Watanzania wote
- Nikaona niwape vyeti iwe kumbukumbu katika maisha yao
#JFLeo

Rais Magufuli: Mwanzo walikuja 8 wakaongezeka kufikia 14 kisha 24, baadaye wakafika karibu 30
- Walikuwa wanapewa dozi kidogo kidogo
#JFLeo

Rais Magufuli: Narudia kusema kuna tuna ushahidi wote wa namna walivyokuwa wanafanya wizi ndio maana wakaja kwenye mazungumzo
#JFLeo

Rais Magufuli: Sikushangazwa na waliokuwa wakiongea na ningeshangaa kama wasingeongea kwasababu ndio uzito wa mawazo yao
#JFLeo

Rais Magufuli: Hata yale Makinikia ya pale Bandarini bado yapo mikononi kwenu(Polisi) na mnaendelea kuyalinda
- Nawashukuru sana
#JFLeo

Rais Magufuli: Kwa Jeshi la Polisi mafanikio ya hii kazi yote kwa ujumla ni kutokana na kazi na juhudi yenu; nawashukuru sana
#JFLeo
Share on Google Plus

0 comments: