Nyalandu
aliyejiondoa CCM wiki iliyopita leo Jumanne Novemba 7,2017 amemshukuru
Lowassa kwa kuonyesha njia kwa wengine kuwa kuna maisha nje ya CCM.
“Mzee
wangu nimekuja kujitambulisha na kusema asante kutufungulia mlango,”
amesema Nyalandu katika taarifa iliyotolewa na ofisi ya Lowassa.
Kwa
upande wake, Lowassa aliyetoka CCM mwaka 2015 amemkaribisha Nyalandu
upinzani akisema, “Nimefarijika kuja huku karibu sana tushirikiane na
kwa hakika 2020 tutavuka daraja.”
0 comments: