MANGE KIMAMBI AACHANA NA KAZI YA MITANDAONI

Siku moja baada ya msanii wa filamu Tanzania Wema sepetu kutangaza kujiondoa katika chama cha democrasia na maendeleo  na kurudi Chama tawala CCM kwa madai ya kuwa nyumbani

Hatimae leo mwanadada Mange Kimambi Mtanzania anaeishi Marekani aliye jizoloea umaarufu mkubwa katika mtandao wa kijamii instagram ametangaza rasmi kujiondoa na kazi hiyo ya siasa na kuifuka account yake

Alisema nimetafakari sana juu ya nchi yangu ninayopoteza muda wangu kwa kuipgania nimetafakari sana juu ya watu ninao wapigania nimehatarisha sana maisha yangu na familia yangu lakini naona napoteza muda wangu bila sababu za msingi nimeamua kufuta account yangu instagram nakuachana kabisa na masuala ya matandao

Kwaherini Watanzania tutaonana Duniani au Mbinguni

ikumbukuwe kuwa Mange na Wema ni watu walio shiriki kikamilifu katika kuhasisha mchango wa matibabu ya mbunge wa singida Mh Tundu lissu hii ilaleta taswira tofauti  kwa wengi walio kuwa wakimfwata na kumuamini juu ya misimamo yake lakini leo kaamua kujitoa rasmi
Share on Google Plus

0 comments: