Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ccm kata ya mtoni Mh Mputa Zeno Maokola amejikuta kushindwa kujizuia hisia zake juu ya Rais na Mwenyekiti wa ccm Taifa Dr Magufuli
Mh MPUTA amesema saivi Magufuli kutufanya tutembee kufua wazi na jezi zetu za chama mtaani bila woga kwani yanayotendeka na Mwenyekiti wa Chama ni makubwa na niyakujivunia aidha Mwenyekiti huyo alisema kwa juhudi zake yeye na uongozi wake hayo kubali kuipoteza kata tena mikononi mwa wapinzani na kuahidi kushughulikia aina yoyote ya makundi ndani ya chama sisi sote kundi letu ni ccm
Mh Mputa amepinga vikali matumizi mabovu ya madaraka kwa viongozi wa chama kuanzia Ngazi yake mpaka katika Mashina tuwahudumie wananchi maana ndio waajiri wetu tufanye kazi katika mazingira ya kuheshimu haki na misingi ya utawala bora
Mh Mputa aliyasema hayo leo katika kikao nawajumbe wa mkutano mkuu kata ikiwa ni mkimbisho wa watendaji wote dani ya kata kutoka katika matawi yote na mashina ndani ya Mtoni
Pichani ni wajumbe wa mkutano mkuu wa kata wakisikiliza yale yaliyo pagwa kufanywa na uongozi waMh Mputa
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi tawi la bokorani Joseph Yona alichangia msaada katika kikao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: