IMANI YA WATANZANIA JUU YA MAGUFULI

IMANI YA WATANZANIA JUU YA RAIS JPM YAONGEZEKA

 kupitia makala ya gazeti la Uhuru ukurasa wa 6 leo kwenye gumzo la jumamosi mwenyekiti wa chama cha mapinduzi tawi la bokorani Mh JOSEPH YONA ameandikia kuwa KURA YANGU UCHAGUZI MKUU HAIKUPOTEA BURE  Mwenyekiti huyo aliya zungumza hayo akiwa na kamati ya siasa ya tawi la bokorani lililopo kata ya mtoni wilaya ya temeke jijini dar es saalm alizungumza akiwa anafuatilia makabiziano ya ripoti ya uchunguzi wa madini ya Tanzanite yaliyo fanyika katika Ikulu ya Magogoni jijini dar es salam

 Alisema Tanzania ilikuwa ina muhuhitaji Rais kama huyu mwenye maamuzi chanya katika kulijenga Taifa alisema vita ya kiuchumi si lelemama na kuwataka Watanzania wote kumuunga mkono Rais kwani vita hii inahusisha mataifa makubwa na yenye nguvu

Mwenyekiti huyo alitumia nafasi hiyo kutoa pole kwa mwanasiasa na mwanasheria wa chama cha chadema kwa tukio la kuvamiwa na kushambuliwa na na risasa na watu wasio julikana

    alisema wanachadema na wafuasi wa mwanasiasa huyo waache kuwa na amaneno ya mihemuko wala vitendo vinavyo weza kupoteza ushahidi wa kipelelezi juu ya wahusika wa tukio hilo

akasema naumia kuona watu wana mtaja Rais kwenye hili naumia kuona wanachadema wanabeba mabango na kutaka Rais atoe tamko juu ya hili akasema ndio maana CHADEMA hawawezi kushuka Dola sababu ni chama cha mizuka na mihemko

    naviomba vyombo husika kufanya kazi kwa uweredi mkubwa ilimkuwapata wahusika na tukio hili pia kuwa chukulia hatua wale wote watakao toa  maneno ya kejeri juu ya Rais JPM
Share on Google Plus

0 comments: