Mkuu wa mkoa wa mkoa wa Dar es salaam amesema kuwa ili kufikia uchumi wa kati nirazima kuweka mikakati ya kuwezeshana kifedha kwa kuliona hilo mkuu wa mkoa huyo Mh Paul Makonda amesema asilimia kumi ya mapato ielekezwe kwenye vikundi vya mikopo ili kuwawezesha vijana wa weze kufanya biashara
Alisema mkoa wangu unachangamoto nyingi lakini hila la kuwawezesha vijana ni la muhimu san kwani ndio njia ya kulikomboa Taifa letu kiuchumi na vijana kwa ujumla
Vijana nawaomba mjitokeze mkope ili muweze pambana na hali zenu pesa zipo kwaajiri yenu tuna wawekea nyinyi na busara mje mzichukue
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: