Na
JOSEPH YONA
MWENYEKITI CCM TAWI LA BOKORANI
Mwenyekiti wa ccm tawi la bokorani ameibuka na kuhoji juu ya sakata la kigaidi juu ya Mh Tundu Lissu kama mwanasiasa na mtanzania awali ya yote ninalaani kwa kile kiichotokea juu ya Lissu n Kusema si chakuvumilia
Lakini kume kuwa na mambo mengi ya kiibuka sana kufwata na tukio hilo fact pamoja na propaganda nyingi za kuchafua hali ya utulivu ya Taifa letu CHADEMA wakataka kutumia damu ya lissu kama ngazi ya kukipandisha chama na kuleta sinto fahamu nyingi kwa wananchi sjui maombi sjui kuchangia damu
Kuna matukio makubwa sana yametokea Tanzania ajali kubwa sana naamini kwenye hizo ajali yawezekana kulikuwa na wanachadema lakini sikuona maombezi wala uchangiaji wa damu
Nirudi kwenye hoja yangu ya msingi Tulishudia uvamivi wa vituo vya polisi hakuna raia wala chama kilichoomba msaada wa kiuchunguzi toka nje jeshi la polisi likawatafuta na kuwa nasa wahusika limetokea jambo zito la mauwaji ya KIBITI raia wengi wamekufa viongozi na wanasiasa pamoja na Polisi lakini sjaona watu wakijitokeza kusema uchunguzi ufanywe na FBI
Kwanini LISSU chama cha chadema kuna nini kwa lissu kwanini mnataka serikali isimamishe shughuri zote ideal na Lissu
Mbona chadema mnalichukulia swala la lissu kama sinema mwenzetu ana hali mbaya nyinyi mnafanya fulsa
Jeshi la polisi lipo lina watu wenye taaluma ya kazi kumpata muhusika ni jambo rais sana kama kibiti ilitulia kama waalifu wanapatikana basi na hao watapatikana tuache porojo tujenge nchi yetu
Niwaombe watanzania tuzidi kuwakataa wanasiasa wanao taka kuhatiribu utulivuWa nchi
Na pia jeshi la polisi liwashughulikie wote wanao kiuka taratibu za nchi
JOSEPH YONA
mwenyekiimti wa ccm tawi la bokorani
0 comments: