aliongeza na kusema leo nawakabidhi pikipiki hizi sio mapambo ni katika kuiunga mkono serikali ya awamu ya tano na ilani ya chama cha mapinduzi chini ya sera ya HAPA KAZI nataka mkafanye kazi ili tuimarishe uchumi wa Taifa letu
Mwenyekiti wa uvccm Juma Raibu akijaribisha moja ya pikipki kabla ya kuzikabidhi
Hizi ni baadhi ya pikipiki mpya ambazo mwenyekiti huyo alizitoa kwa vijana alitumia wasaa huo mwenyekiti wa uvccm mkoa wa kilimanjaro kusema kuwa ni wakati sasa wa wadau vyama vya kisiasa taasisi za kidini pamoja na na watu binafsi kujitokeza kuzifadhiri jumuhia za vijana na vikundi ili kuondokana na makundi mabaya na utegemezi kwani ni kuukandamiza uchumi wa taifa
Adhia mwenyekiti huyo amepokea pongezi nyingi kutoka kwa watu mbali mbali ikiwemo viongozi wa ccm na hata serikali na vyama vingine vya upnzani
Joseph yona mwenyekiti wa ccm tawi la bokorani amesema huu ni mfano wa kuigwa na viongozi wengine mimi kama mweyekiti wa tawi nimejifunza kitu
Alizungumza hayo kupitia ukurasa wake wa facebook
0 comments: