na mwandishi Abert Dimela
Gazeti la jamvi la habari leo juma tatu katika makala yake ya kuchambua mafanikio 12 aliyo yapata Rais Joseph John Pombe Magufuli katika kipindi cha miaka miwili ya madaraka yake wameanza na elimu
ikumbukwe kwa Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyelele alituambia ujinga ni moja kati ya maadui zetu wakubwa kama Taifa ili kuweza kulikomboa Taifa ni razima tuukatae ujinga
Na njia pekee ya kukataa ujinga ni kupita elimu ndio maaana utaona serikali zote zilizo pita ziliwekeza na kuipigia kelele elimu
Ras JPM amefanikiwa kwa kiasi kikubwa na anaendelea kufananikiwa kupamabana na Adui huyu Ujinga kwa kiasi kikubwa kutoaka na jitihada zake katika kutatua changamoto zinazo ikumba secta ya elimu
Mara tu alipo ingia madarakani alianza na elimu bure hii ni kumsaidia hata mtoto wa mkulima kupata haki za kusomeshwa na serikali mpka ngazi ya kidato cha sita kwa kiasi kikubwa amefanikiwa kutimiza ndoto za masikini wengi walio kata tamaa na shule
katika kampeni zake alisema elimu ya juu haita kuwa bure ila nitaweka mazingira rafiki kwa wanafunzi kwa hili wanavyuo vikuu vyote watakuwa mashaidi Rais JPM alipo ingia madarakani idadi ya wanufaika iliongezeka na mwaka huu imeongezeka zaidi na kiasi cha shillingi billion 147 zimetegwa kwaajiri ya mikopo ya wanufaika wote
Kwa hayo na mengine mengi usikose nakala yako ya JAMVI LA HABARI
Pia katika ukurasa wa nyuma Jamvi la habari limepamba na picha ya mchezaji anae wakilisha vizuru nchi yetu katika ulimwengiu wa soka Mbwana Samatta huku kichwa kikiwa kimeandikwa mbwana Samatta hashikiki kwa habri kamili shika nakala yako
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: