JOSEPH YONA AWAGEUKIA MAWAZIRI WATEULIWA WA RAIS

Mwenyekiti wa ccm tawi la bokorani lililopo kata ya mtoni wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam  Mh JOSEPH YONA ambae amekuwa akiibuka na hoja zenye mashiko na kuelimisha jamii kuhusu mambo yanayo lihusu Taifa kupitia Gazeti la Mzarendo kipengele cha KURUNZI LA YONA
 mwenyekiti huyo mwenye mitizamo chanya katika kuleta mabadiliko ya dhana iliyopo kati vichwa vya wengi kwamba ili uweze kutenda kazi za kuisaidia jamii ni razima uwe na nafasi kubwa ya uongozi yeye aliye kuwa akinukuliwa mara nyingi aisema NAFASI YA UWENYEKITI WA TAWI NI NZURI KATIKA KUIHUDUMIA JAMII KWANI NI RAISI KUKUTANA NA WANA JAMII

 Katika KURUNZI LA YONA la wiki hii Mh Joseph yona amewageukia Mawaziri wote walio teuliwa tarehe 07 october, kwamba huu ni wakati wa wao kufanya kazi kwa uweridi mkubwa sana ili kuweza kulisaidia Taifa alisema, Rais ana imani kubwa na nyinyi lakini haina maana kama hakuna wengine zaidi yenu nyinyi hivyo ni wakati wenu wa kufanaya kazi bila kuwaza uchaguzi wa 2020

    Mh Joseph Yona alisema fanyeni kazi wapuuzeni wanasiasa wenye mihemuko wasio jua thamani ya kuwatumikia wananchi wanao sahau kazi zao na kujikita katika siasa chafu za propaganda na uwanaharakati

kama anavyotaka Rais wetu JPM ndivyo mnavyotakiwa kufanya kazi achaneni na tamaa za urais kwa kukumbatia ubovu ili tu uonekane mwema mbele ya waovu hiii haitavumilika

pia Mh Joseph Yona amewaoma wananchi kumuunga mkono Rais JPM kwani juhudu zake katika kupambana na Uchumi wa taifa hili ni kubwa na vita ya kiuchumi ina hitaji sana kujitoa na kutoa na kutokuwawa na uwoga wa aina yeyote

chanzo ni  GAZETI LA MZARENDO 08 OCTOBER 2017

        Imeandaliwa na
chairman personal assistance
Share on Google Plus

2 comments: